Home SPORTS WAFANYAKAZI WA BARRICK WALIVYOSHIRIKI CRDB MARATHON 2023

WAFANYAKAZI WA BARRICK WALIVYOSHIRIKI CRDB MARATHON 2023

Katika kufanikisha programu ya kampuni ya Barrick ya kuhamasisha wafanyakazi wake kufanya mazoezi mazoezi kwa ajili ya kujenga afya zao, baadhi ya wafanyakazi wake kutoka migodi ya Bulyanhulu na North Mara walishiriki katika mbio za CRDB Marathon zilizofanyika jijini Dar es Salaam katika umbali tofauti.

Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Marathon
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Marathon
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kukimbia mbio za riadha za CRDB Marathon 2023.
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kukimbia mbio za riadha za CRDB Marathon 2023.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za CRDB Marathon katika picha ya pamoja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here