Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Mheshimiwa Joko Widodo akipokelewa na Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku mbili Tarehe 21 – 22 Agosti, 2023. (Picha na Wizara ya Mambo ya Nje)