Home BUSINESS RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, MAOFISA PUMA ENERGY WAFANYA MAZUNGUMZO

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, MAOFISA PUMA ENERGY WAFANYA MAZUNGUMZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu akizungumza na maofisa kutoka Puma Energy ambao ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Puma Energy kutoka kulia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Puma Energy ( Global)Hadi Hallouche, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Puma Afrika, Fadi Mitri na Mkuu wa Puma Energy Afrika Constantin De Bartha.

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma Energy na Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Mafuta ya Trafigura Hadi Hallouche (kulia kwa Rais Samia). Wanaofuata kulia kwa Rais ni Mkuu wa kampuni hiyo Afrika Constantin De Bartha, Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Puma Afrika Fadi Mitri, Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu (kushoto kwa Rais) na Mkurugenzi wa Puma Energy Tanzamia Fatma Abdallah.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here