Home LOCAL RAIS SAMIA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA KANISA LA KIINJILI...

RAIS SAMIA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA KKKT ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Shada la maua kutoka kwa mtoto Evynne Anicet Maganya (9) Mkazi wa Arusha, wakati alipowasili katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha kwa ajili ya kufungua Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira  kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa hilo tarehe 21 Agosti, 2023.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maaskofu na Viongozi mbalimbali wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wakati alipowasili katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha kwa ajili ya kufungua Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira  kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa hilo tarehe 21 Agosti, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua kitambaa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuashiria ufunguzi rasmi wa Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yaliyofanyika katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha tarehe 21 Agosti, 2023.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuashiria ufunguzi rasmi wa Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yaliyofanyika katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha 

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Fredrick Shoo alipowasili katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mkoani Arusha tarehe 21 Agosti, 2023.

 

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kazi mbalimbali za Kanisa alipotembelea Maonesho Maalum kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)  yaliyofanyika katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) akipata maelezo kuhusu Maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira Mkoani Arusha mara baada ya kuzifungua rasmi kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yaliyofanyika katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) pamoja na Waumini wa Kanisa hilo, kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha tarehe 21 Agosti, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) mara baada ya  kuzungumza nao kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa hilo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Wazee waanzilishi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa hilo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha tarehe 21 Agosti, 2023. Kushoto Mzee Johansen Rutabingwa, na wa pili kulia Mchungaji Elirehema Philip Mwanga.

    Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha. 

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kuimba kwaya na Watoto wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa hilo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Fredrick Shoo ikiwa ni kwa ajili ya jitihada zake za kuleta Maendeleo nchini wakati wa Maadhimisho ya miaka 60 ya  Kanisa hilo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha.

Previous articleMAFANIKIO MAKUBWA YAFIKIWA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KWA MAKUNDI HATARISHI, MAENEO YA PEMBEZONI
Next articleDKT. TAX AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA COMORO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS SAMIA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA KKKT ARUSHA