Home LOCAL WANANCHI WAFURIKA MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO DAR ES...

WANANCHI WAFURIKA MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO DAR ES SALAAM

Wananchi wakiwa wamesimama kumlaki Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongo, alipowasili kuongoza Mkutano wa CCM uliofanyika katika Viwanja vya Tangayika Packers, Kawe, Dar es Salaam, leo Julai 29, 2023. Lengo la mkutano huo ni kufafanua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025, kufuatia upotoshaji unaoendelea katika majukwaa ya kisiasa na Mitandao ya kijamii kuhusu dhamira ya CCM na Serikali ya Uboreshwaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa njia ya Uwekezaji.

(PICHA ZOTE NA: CCM BLOG)

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa Kawe Gwajima apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano huo.

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa Mbagala Abdallah Chaurembo apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano huo.

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano huo.

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akisaini kitabu cha waagen apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkutano huo.

Wananchi wakishangilia baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kuwasili kwenye mkutano huo.

Baadhi ya Viongozi wakiwemo Wabunge kutoka Dar es Salaam, Morogoro na Pwani wakiwa kwenye Mkutano wa CCM ulioongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam,  leo.

Baadhi ya Viongozi kutoka Dar es Salaam, Morogoro na Pwani wakiwa kwenye Mkutano wa CCM ulioongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam, leo Julai 29, 2023.

Baadhi ya Viongozi kutoka Dar es Salaam, Morogoro na Pwani wakiwa kwenye Mkutano wa CCM ulioongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam, Julai 29, 2023.

Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.

Katibu wa NEC Oganaizesheni Issa Gavu akizungumza kwenye Mkutano huo.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Anamringi Macha akizungumza kwenye mkutano huo.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza kwenye mkutano huo.

Wakuu wa Wilaya katika mkoa wa Dar es Salaam wakisimama baada ya kutambulishwa na RC Chalamila kwenye mkutano huo.

Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.

Mabango yakisherehesha mkutano huo.

Mwananchi mkazi wa Mbezi Msakuzi Benjamin Matongo,  akiandika wakati viongozi mbalimbali walipokuwa wakitoa ufafanusi wa kina kuhusu ubinafsishaji bandari ya Dar es Salaam, katika Mkutano huo.

Vijana wa hamasa katika mkutano huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here