Home LOCAL WAKUU WA TAASISI ZINAZOSIMAMIA MANUNUZI YA BIDHAA ZA AFYA SADC WAKUTANA DAR

WAKUU WA TAASISI ZINAZOSIMAMIA MANUNUZI YA BIDHAA ZA AFYA SADC WAKUTANA DAR

Wakuu wa Taasisi zinazosimamia Manunuzi ya Bidhaa za Afya kwa nchi za SADC wamekutana leo jijini Dar es Salaam, kujadiliana na kuweka mikakati ya pamoja ya kuboresha mpango wa manunuzi ya pamoja ya bidhaa za afya kwa nchi za ukanda wa Kusini mwa Africa-SADC (SPPS).

Washiriki hao pamoja na mambo mengine watajadili namna bora ya kutekeleza mpango wa manunuzi ya pamoja ili kuweza kutekeleza mpango huo kwa ufanisi zaidi na kujadili mapendekezo yaliyotolewa na mshauri mwelekezi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here