Home LOCAL WAKUU WA TAASISI ZINAZOSIMAMIA MANUNUZI YA BIDHAA ZA AFYA SADC WAKUTANA DAR

WAKUU WA TAASISI ZINAZOSIMAMIA MANUNUZI YA BIDHAA ZA AFYA SADC WAKUTANA DAR

Wakuu wa Taasisi zinazosimamia Manunuzi ya Bidhaa za Afya kwa nchi za SADC wamekutana leo jijini Dar es Salaam, kujadiliana na kuweka mikakati ya pamoja ya kuboresha mpango wa manunuzi ya pamoja ya bidhaa za afya kwa nchi za ukanda wa Kusini mwa Africa-SADC (SPPS).

Washiriki hao pamoja na mambo mengine watajadili namna bora ya kutekeleza mpango wa manunuzi ya pamoja ili kuweza kutekeleza mpango huo kwa ufanisi zaidi na kujadili mapendekezo yaliyotolewa na mshauri mwelekezi.

Previous articleWAZIRI DKT. CHANA APOKEA VIFAA KWA AJILI YA SAMIA TAIFA CUP NA MICHEZO MTAA KWA MTAA
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 11,2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here