Home LOCAL SPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI ITALY KWA ZIARA YA KIKAZI

SPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI ITALY KWA ZIARA YA KIKAZI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, 22 Julai, 2023 amewasili katika Jiji la Roma Nchini Italia kwa ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Balozi wa Nchi hiyo Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.

Katika Ziara hiyo, Dkt. Tulia ameambatana pia na Katibu wa Bunge Bi. Nenelwa Mwihambi ndc

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here