Home LOCAL SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA MASPIKA WA CPA NCHINI CAMEROON

SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA MASPIKA WA CPA NCHINI CAMEROON

  

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao wakati wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Yaounde Jijini Yaounde Nchini Cameroon.

Kikao hicho ambacho kinauadili athari za mabadiliko ya tabia nchi duniani kimefanyika leo tarehe 19 Julai, 2023. Katika Mkutano huo Mhe. Dkt. Tulia ameambatana na Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu pamoja na Katibu wa Bunge Bi. Nenelwa Mwihambi ndc

Previous articleWAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA WA CANADA AWASILI NCHINI
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JULAI 20,2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here