Home LOCAL SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CAMEROON

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CAMEROON

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cameroon, Mhe. Felix Mbayu katika Ofisi za Waziri huyo zilizopo Jijini Yaounde nchini Cameroon leo tarehe 21 Julai, 2023.

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cameroon, Mhe. Felix Mbayu katika Ofisi za Waziri huyo zilizopo Jijini Yaounde nchini Cameroon leo tarehe 21 Julai, 2023.

Pamoja na mambo mengine, Dkt. Tulia amemshukuru Waziri huyo kwa niaba ya Mawaziri wengine ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Mawaziri ya Umoja wa Afrika (AU) kwa kupitisha jina lake kuwa Mgombea pekee wa Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anayeungwa mkono na AU.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleUSAMBAZAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA WAFIKIA ASILIMIA 95 KYELA
Next articleMKUTANO WA TUME YA KUANGALIA JINSI YA KUIMARISHA TAASISI ZA HAKI JINAI PAMOJA NA WAHARIRI, IKULU JIJINI DAR ES SALAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here