Home SPORTS SIMBA SC YAMUUZA SAKHO UFARANSA

SIMBA SC YAMUUZA SAKHO UFARANSA

KLABU ya Simba SC imefikia makubaliano na klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Métropole ya nchini Ufaransa kumnunua mchezaji wake, Msenegal Pape Ousmane Pape Ousmane Sakho.

Winga huyo wa kushoto mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na Simba SC Agosti mwaka 2021 akitokea Teungueth FC ya kwao, Senegal na baada ya misimu miwili mizuri anaondoka Msimbazi.

Union Sportive Quevillaise-Rouen Métropole, inayofahamika zaidi kama US Quevilly-Rouen, ama US Quevilly, au QRM ni timu inayoshiriki Ligi ya pili kwa ukubwa nchini Ufaransa, Ligue 2.

Hata hivyo uhamisho wa winga huyo Pape Sakho kutoka Simba Kwa ada ya bilion 2 za kitanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here