Home LOCAL RAIS NYUSI AREJEA NCHINI MSUMBIJI

RAIS NYUSI AREJEA NCHINI MSUMBIJI

 

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi ameondoka nchini baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit) uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 25 na 26 Julai, 2023.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam , Mhe. Rais Nyusi amesindikizwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, mhe. Faustine Kasike.

Previous articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JULAI 26 – 2023
Next articleRAIS DKT. SAMIA ATAJA MALENGO MANNE YA AFRIKA YA MIAKA 40 IJAYO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here