Home BUSINESS NAIBU WAZIRI UJENZI ATEMBELEA BANDA LA BANDARI MAONESHO YA SABASABA

NAIBU WAZIRI UJENZI ATEMBELEA BANDA LA BANDARI MAONESHO YA SABASABA

       Meneja Mawasiliano Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) akimtembeza Naibu Waziri wa Wiara ya Ujenzi  Mhandisi Godfery Kasekenywa kukagua na kujionea shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo katika Banda lao, kwenye Maonesho ya Maonesho ya 47  ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri Wiara ya Ujenzi Mhandisi Godfery Kasekenywa akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Mawasiliano Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wakati alipotembelea katika Banda la Mamlaka hiyo kwenye Maonesho ya 47  ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri, Wiara ya Ujenzi  Mhandisi Godfery Kasekenywa akipata maelezo kutoka kwa moja ya mfanyakazi amlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kitengo cha makontena wakati Kiongozi huyo alipofika kujionea shuguli mbalimbali zinazofanywa na Kitengo hicho alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo katika Maonesho hayo.

(PICHA NA: HUGHES DUGILO)

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO KATIKA BANDA HILO.

Previous articleWAZIRI  GWAJIMA ATOA WITO KWA UMOJA WA WANAWAKE VIONGOZI AFRIKA KUFIKIA JAMII
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 7,2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here