Home BUSINESS NAIBU GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA DKT. YAMUNGU ATEMBELEA MABANDA MAONESHO...

NAIBU GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA DKT. YAMUNGU ATEMBELEA MABANDA MAONESHO YA SABASABA

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Yamungu Kayandabila, akifafanua jambo kwa Mchumi Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Tafiti na Sera za Uchumi, Bi. Angelina Mhoja, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usimamizi Rasilimali Watu na Utawala, Bw. Kened Nyoni, Meneja Mawasiliano BoT, Bi. Victoria Msina, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya mikopo ya nyumba (First Housing Finance) Bw. Sasa Chonza pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC), Bw. Oscar Mgaya (kulia).

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Yamungu Kayandabila, akifafanua jambo kwa Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Malipo kutoka Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa, Bw. Nestory Maro, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mawasiliano BoT, Bi. Victoria Msina, Mkurugenzi wa Usimamizi Rasilimali Watu na Utawala, Bw. Kened Nyoni, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya mikopo ya nyumba (First Housing Finance) Bw. Sasa Chonza pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC), Bw. Oscar Mgaya (wa pili kutoka kulia).

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Yamungu Kayandabila, akizungumza na Mhasibu Mkuu Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Huduma za Kibenki, Bw. Elirehema Msemembo na Afisa Mkuu Mwandamizi wa Benki, Bi. Crispina Nkya, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Yamungu Kayandabila, akielezea jambo kwa Afisa Utawala Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Usimamizi Rasilimali Watu na Utawala, Bw. Suleiman Tajiri, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni Meneja Mawasiliano BoT, Bi. Victoria Msina, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC), Bw. Oscar Mgaya pamoja ma Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya mikopo ya nyumba (First Housing Finance), Bw. Sasa Chonza (kulia).

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Yamungu Kayandabila, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC), Bw. Oscar Mgaya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya mikopo ya nyumba (First Housing Finance), Bw. Sasa Chonza (katikati).

Previous articleKATIBU MKUU MADINI ATEMBELEA BANDA LA GGML SABASABA, AKOSHWA NA REKODI YA KAMPUNI HIYO
Next articleTAA YABORESHA NA KUJENGA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here