Home LOCAL MBUNGE WA CHADEMA AMPA KONGOLE RAIS SAMIA UWEKEZAJI WA BANDARI+video

MBUNGE WA CHADEMA AMPA KONGOLE RAIS SAMIA UWEKEZAJI WA BANDARI+video

Mbunge waViti Maallum kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jesca Kishoa amemmwagia sifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya kuliletea Taifa Maendeleo ikiwemo uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Kishoa ameyasema hayo alipokaribishwa kuzungumza na na wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Chongolo kwenye Uwanja wa Bombadia mjini Singida Julai 23, 2023.

Komredi Chongolo akimpongeza Jesca Kishoa baada ya kutoka jukwaani kuzungumza na wananchi na kumuunga mkono Rais Samia kwa kazi nzuri ya kuijenga nchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here