Home LOCAL CHUO CHA USTAWI WA JAMII KINASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA JUU, SAYANSI...

CHUO CHA USTAWI WA JAMII KINASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA JUU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA (TCU)

Tunawakaribisha wahitimu wote wa kidato cha nne na cha sita katika banda letu lililopo karibu na mabanda ya Global Education Link kupata huduma za udahili kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa ngazi za Degree, Postgraduate Diploma na Master’s Degree , elimu na ushauri wa kitaaluma kuhusiana na kozi zinazotolewa chuoni kwetu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here