Home LOCAL RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WASHAURI WAPYA WA SIASA NA UHUSIANO WA JAMII...

RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WASHAURI WAPYA WA SIASA NA UHUSIANO WA JAMII IKUU CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha  Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2023.

Previous articleBENKI YA NBC YAZINDUA AKAUNTI MAALUM KWA AJILI YA WAALIMU 
Next article  TANZANIA YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here