Home BUSINESS RAIS DKT. SAMIA APOKEA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 45 KUTOKA BENKI YA...

RAIS DKT. SAMIA APOKEA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 45 KUTOKA BENKI YA NMB

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani akizungumza katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB yoliofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani akizindua miaka  25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB katika hafla  iliyofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya NMB, viongozi wa dini pamoja wateja wa Benki ya NMB wakiwa katika katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB iliyofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Previous articleCOSTECH YAENDELEA KUTENGENEZA SERA KWA MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILI KUONGEZA UFANISI KATIKA UZALISHAJI VIWANDANI
Next articleFIDIA YA ARDHI INA UMUHIMU ZAIDI KULIKO FIDIA YA FEDHA – CHONGOLO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here