Home LOCAL KATIBU MKUU CHONGOLO AMTEMBELEA BALOZI WA KATA YA BWAWANI KONDOA

KATIBU MKUU CHONGOLO AMTEMBELEA BALOZI WA KATA YA BWAWANI KONDOA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo, akiwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa Shina namba sita, kata ya Bwawani, jimbo la Kondoa, Mkoani Dodoma, akizungumza na wananchi pamoja na wanaCCM waliojitokeza kumpokea na kusikiliza kero zinazowakabili likiwemo suala la maji.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu wa CCM ameambatana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Sophia Mjema pamoja na Katibu NEC, Oganaizesheni, Issa Haji Gavu.