Home BUSINESS WAZIRI MKUU MAJALIWA KUKUTANA NA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO MEI 17,2023

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUKUTANA NA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO MEI 17,2023

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA).

Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Saa 8 Mchana kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu MAGOGONI – ikulu Jumatano tarehe 17 Mei 2023 kwa uratibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala.

Kwa sasa Serikali inaendelea kuwasihi wafanyabiashara wa soko hilo kuendelea na shughuli zao za biashara wakati Serikali inajiandaa kukutana nao kwa lengo la kuwasikiliza na kushughulikia kero zinazowakabili.

Previous articleWAZIRI MKUU: AKINABABA MUWASAIDIE WAKE ZENU KULEA WATOTO
Next articleRAIS SAMIA ATOA NDEGE KUUSAFIRISHA MWILI WA ‘LEMUTUZ’
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here