Home ENTERTAINMENTS RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA SADC NCHINI NAMIBIA

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA SADC NCHINI NAMIBIA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi zinazochangia Vikosi vya Jeshi katika Force Intervention Brigade (FIB) Windhoek nchini Namibia