Home LOCAL RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA MISRI MHE. ABDEL...

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA MISRI MHE. ABDEL FATTAH EL SISI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri anayeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi, ambaye aliambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri anayeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi, mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri anayeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar Es Salaam tarehe 17 Mei 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here