Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI WA REA KIJIJI CHA SALE NGORONGORO

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI WA REA KIJIJI CHA SALE NGORONGORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikata utepe katika nyumba ya Mama Gladness Gilole iliopo Kijiji cha Sale kuashiria kuzindua mradi wa umeme vijijini (REA) katika vijijimmbalimbali vya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasha taa katika nyumba ya Mama Gladness Gilole iliopo Kijiji cha Sale mara baada ya kuzindua mradi wa umeme vijijini (REA) katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wananchi pamoja na familia ya Mama Gladness Gilole iliopo Kijiji cha Sale mara baada ya kuzindua mradi wa umeme vijijini (REA) katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.

Previous articleRAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA MISRI MHE. ABDEL FATTAH EL SISI IKULU DAR ES SALAAM
Next articleMAJALIWA AUNDA KAMATI YA WATU 14 MGOGORO WAFANYABIASHARA KARIAKOO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here