Home LOCAL RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA VIONGOZI MBALIMBALI KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA VIONGOZI MBALIMBALI KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza `Kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika  Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 06 Mei 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here