Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, UWEKEZAJI...

RAIS SAMIA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, UWEKEZAJI VIWANDA NA BIASHARA,TRA PAMOJA NA KATIBU MKUU KIONGOZI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaji, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiongozwa na Kamishna Mkuu Alphayo Kidata pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023.

Previous articleMAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MIANZINI – NGARAMTONI MKOANI ARUSHA.
Next articleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MEI 19, 2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here