Home INTERNATIONAL PICHA – MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA SHARM EL SHEIKH

PICHA – MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA SHARM EL SHEIKH

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 25 Mei 2023 akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh nchini Misri kurejea nchini Tanzania. Makamu wa Rais alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) uliofanyika katika mji wa Sharm El Sheikh.

Previous articleMSIGWA AFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA MISA TANZANIA
Next articleWAHITIMU KIDATO CHA SITA 2023 WAITWA MAFUNZO YA JKT
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea PICHA – MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA SHARM EL SHEIKH