Home INTERNATIONAL MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA AFRIEXMBANK NCHINI...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA AFRIEXMBANK NCHINI MISRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Rais wa Benki ya African Export – Import (Afreximbank) Prof. Benedict Oramah leo tarehe 24 Mei 2023 kando ya Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya African Export – Import (Afreximbank) Prof. Benedict Oramah mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri leo tarehe 24 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya African Export – Import (Afreximbank) Prof. Benedict Oramah pamoja na Ujumbe waliofuatana nao mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri leo tarehe 24 Mei 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here