Home LOCAL MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR ATEMBELEA MALI ZA CHAMA WILAYA YA MJINI...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR ATEMBELEA MALI ZA CHAMA WILAYA YA MJINI KICHAMA

Makamo  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg.Aboud Mpate (kushoto) wakati alipotemebea maeneo ya Kijangwani Posta kuangalia sehemu za biashara  za Chakula wakati akitembelea mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).

Naibu Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali pia Mwakilishi wa CCM Mhe.Ali Abduligulam Hussein(kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati akiendelea na Ziara ya kuangalia mali za Chama cha Mapinduzi katika Maeneo ya Kijangwani Posta leo,Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa wa Mjini Mgaharibi (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).

Makamo  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Msimamizi wa jengo ya Umoja wa Vijana UVCCM Darajani Ngd, Ramadhan Makame Msheli (wa pili kulia) wakati alipowasili kutembelea maduka sambamba na  kutembelea Mali za Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Mjini Kichama leo (katikati) Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Ndg.Mussa Haji Mussa.

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Ndg.Mussa Haji Mussa (katikati mwenye kipaza sauti) wakati alipotemebea jengo ya Umoja wa Vijana UVCCM Darajani wakati akiwa katika ziara ya kutembelea Mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi leo.

Makamo  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa  Vijana UVCCM na Wanachama wa CCM,Gymkana Zanzibar leo mara baada ya kutembelea mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi, wengine (kutoka kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa,Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Vuai Ali Vuai na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here