Home LOCAL WAZIRI MKUU AZINDUA TAASISI YA BINTI LINDI INITIATIVE

WAZIRI MKUU AZINDUA TAASISI YA BINTI LINDI INITIATIVE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea  tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitolewa  na  Taasisi ya Binti Lindi Initiative wakati wa hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Kija Yunus 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Taasisi ya Binti Lindi Initiative kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanaharakati wa Masuala ya Watu wenye Ulemavu Sophia Mbeyele wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Taasisi ya Binti Lindi Initiative iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleMAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR ATEMBELEA MALI ZA CHAMA WILAYA YA MJINI KICHAMA
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 15, 2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea WAZIRI MKUU AZINDUA TAASISI YA BINTI LINDI INITIATIVE