Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt. Elephas Mollel akikabidhi zawadi kutoka DART kwa Father Vicent Boselli wa kijiji cha Matumaini kilichopo Kisasa jijini Dodoma wakati waandishi wa habari washiriki wa semina iliyoandaliwa na taasisi DART iliyoandaliwa na kufanyika Dodoma kwa wiki moja walipoenda kutoa msaada wa vyakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho katikati ni Sister Mari Rosalia Gargulo wa kijiji cha Matumaini mwishoni mwa wiki Mei 19,2023
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt. Elephas Mollel akikabidhi zawadi kutoka DART kwa Sister Mari Rosalia Gargulo wa kijiji cha Matumaini kilichopo Kisasa jijini Dodoma wakati waandishi wa habari washiriki wa semina iliyoandaliwa na taasisi ya DART na kufanyika Dodoma kwa wiki moja walipoenda kutoa msaada wa vyakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho mwishoi mwa wiki Mei 19,2023
Father Vicent Boselli wa kijiji cha Matumaini kilichopo Kisasa jijini Dodoma akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt. Elephas Mollel aliyeongozana na Waandishi wa habari washiriki wa semina ya taasisi hiyo ilyofanyika wiki ilyopita jijini dodoma wakati walipotembelea na kukabidhi vyakula za zawadi mbalimbali kwa watoto wanalolelewa katika kijiji chicho mwishoni mwa wiki Mei 19,2023.
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt. Elephas Mollel akikabidhi zawadi kutoka DART kwa Sister Efrancia Julius na Sister Mari Rosalia Gargulo wa kijiji cha Matumaini kilichopo Kisasa jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt. Elephas Mollel mara baada ya kukabidhi zawadi na vifaa mbalimbali kutoka DART kwa Sister Efrancia Julius na Sister Mari Rosalia Gargulo wa kijiji cha Matumaini kilichopo Kisasa jijini Dodoma katikati ni Father Vicent Boselli Mei 19,2023
Baadhi ya maofisa wa DART na waandishi wa habari waksikilia maeleo ya Father Vicent Boselli.