Home LOCAL CHONGOLO, MJEMA, GAVU WASHIRIKI UJENZI SHULE YA MWONGOZO, MUFINDI

CHONGOLO, MJEMA, GAVU WASHIRIKI UJENZI SHULE YA MWONGOZO, MUFINDI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akishiriki ujenzi wa shule ya msingi mpya ya Mwongozo inayojengwa chini ya mradi wa BOOST ambapo zaidi ya milioni mia tatu aroibaini na saba na laki tano (347,500,000/-) zimeshatolewa .

Katibu Mkuu yupo kwenye ziara pamoja na Wajumbe wawili wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambao ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi Gavu na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here