Home BUSINESS BENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA YA NBC CONNECT KANDA YA ZIWA JIJINI...

BENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA YA NBC CONNECT KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bulandya Elikana, akizungumza na wateja wa benki ya NBC wakati wa kuzindua huduma ya NBC Connect kwa kanda ya Ziwa, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.

Mkuu wa kwa Kitengo cha Wateja wa Kimataifa wa NBC Wilson Nkuzi, akizungumza na wateja wakati wa uzinduzi wa huduma ya NBC Connect kwa kanda ya Ziwa, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.

Mkuu wa Kitengo cha Kidigitali na Miamala wa benki ya NBC Jimmy Myalize, akiwasilisha mada ya namna ya kufanya miamala kwa njia nafuu na rahisi wakati wa uzinduzi huduma ya NBC Connect kwa kanda ya Ziwa, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.

Baadhi ya wateja wa benki ya NBC na wadau wa sekta ya fedha wakipiga makofi kuipongeza benki hiyo, wakati wa kuzindua huduma ya NBC Connect kwa kanda ya Ziwa, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bulandya Elikana (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Kimataifa wa benki ya NBC Wilson Nkuzi wakati wa kuzindua huduma ya NBC Connect kwa kanda ya Ziwa, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.

Baadhi ya wateja wa benki ya NBC na wadau wa sekta ya fedha wakifuatilia hotuba na mada mbalimbali, wakati wa uzinduzi wa huduma ya NBC Connect kwa kanda ya Ziwa, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.

Previous articleWEMA KAIJINGI AWATAKA WALIMU KUWEKA RATIBA ZA MICHEZO SHULENI
Next articleWANAHISA WA BENKI YA CRDB WAIDHINISHA GAWIO LA TZS 117.5 BILLIONI KWA MWAKA WA FEDHA 2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here