Free Porn
xbporn

buy twitter account buy twitter account liverpool escorts southampton escorts southampton elite escorts southampton escorts sites southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton ts escorts southampton escorts southampton escort guide shemale escort southampton escort southampton southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts ts escorts ts escorts liverpool escorts liverpool escorts liverpool escorts liverpool ts escorts liverpool escort models liverpool escort models liverpool ts escort liverpool ts escort liverpool shemale escorts liverpool escorts liverpool escorts liverpool escorts liverpool escorts london escorts london escorts london escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts southampton escorts liverpool escorts liverpool escorts london escorts liverpool escorts london escorts Index of / https://southamptontsescorts.co.uk Index of / https://tsescorts-southampton.co.uk
Home Uncategorized GGML YAIBUKA KAMPUNI KINARA INAYOZINGATIA MALENGO YA SDGs

GGML YAIBUKA KAMPUNI KINARA INAYOZINGATIA MALENGO YA SDGs

Mkurugenzi wa Bodi ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Felix Mlaki (kulia), Makamu Rais wa AngloGold Ashanti anayesimamia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayo (kushoto), Meneja Mawasiliano wa GGML, Stephen Mhando (wa pili kulia) na Ofisa Utawala, Layla Mohamed wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuibuka mshindi wa jumla katika kipengele cha kampuni ya kibiashara inayohali watu. Tuzo hizo za SDGs zimetolewa na Shirika la UN Global Compact Tanzania.

Na: Mwandishi Wetu

KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika tuzo za kampuni za kibiashara zilizoonesha kwa vitendo mchango wake kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwenye kipengele cha kujali watu.

Tuzo hiyo iliyotolewa na Shirika la UN Global Compact Network Tanzania Aprili 29, 2023 jijini Dar es Salaam, imetajwa kuthibitisha nia ya GGML kujitolea kuzisaidia jamii zinazozunguka mgodi huo, pamoja na kuimarisha mazingira mahali pa kazi kuwa salama na shirikishi huku wafanyakazi wake wakitekeleza majukumu yao kwa kuzingatia utu.

Akipokea tuzo hiyo, Mkurugenzi wa Bodi ya GGML, Felix Mlaki alisema: “Tuzo hii ni ushuhuda wa dhamira yetu ya kusaidia jamii inayozunguka mgodi wetu, pamoja na juhudi zetu za kuwa na mahali pa kazi panapozingatia afya na usalama kwa wafanyakazi wetu.

Aliendelea kusema kuwa baada ya kupata tuzo, kampuni hiyo itaendelea kuimarisha dhamira yake kama sehemu ya Uwajibika wa kampuni kwa Kijamii (CSR) kwa kutekeleza miradi inayofanana na juhudi za serikali katika kuendeleza jamii. 

“Tuzo hii inatambua juhudi zetu za kuheshimu haki za binadamu na uendelevu wa mazingira huku tukishirikiana na jamii kutekeleza miradi mbalimbali kupitia mpango wa uwajibikaji wa jamii kwa jamii,” amesema.

Alibainisha kuwa kampuni itaendelea kuboresha maisha ya wakandarasi wa ndani, ikiwa ni pamoja na kuwapa kipaumbele katika fursa za zabuni ili waweze kuchangia upatikanaji wa ajira kwa watanzania wengi katika shughuli za uchimbaji madini.

Tuzo hizo zilizozinduliwa Februari mwaka huu zinalenga kuendeleza ushirikiano kati ya wadau wa sekta binafsi na Serikali katika utekelezaji malengo ya maendeleo endelevu.

Previous articleCCM ZANZIBAR YAMPONGEZA DKT. MWINGI KWA KUPANDISHA VIWANGO VYA PENSHENI
Next articleUSHIRIKI WA BRELA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea GGML YAIBUKA KAMPUNI KINARA INAYOZINGATIA MALENGO YA SDGs