Home LOCAL WANAWAKE WANAOTAKA KUHAMA NGORONGORO WAMPIGIA GOTI RAIS SAMIA

WANAWAKE WANAOTAKA KUHAMA NGORONGORO WAMPIGIA GOTI RAIS SAMIA

WAJANE na wake wenza wameiomba serikali kuwatizama kwa jicho la huruma baada ya wao kukubali kuhama kwa hiyari kutoka ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.

Watu hao wamesema kitendo hicho kinatokana na wao kutotambulika kama viongozi wa kaya na kushindwa kulipwa chochote kama serikali ilivyotoa ikiwemo ardhi yenye ekari 7.5, nyumba na fidia.

Wakizungumza jana katika kijiji cha Kayepusi, Ngorongoro watu hao akiwemo Namaruu Pariti ambaye ni mjane na mke mwenza, Ndetia Mollel ambao wamesema wako tayari kuhama kwa hiyari lakini hawajui hatima yao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here