TMDA
Home SPORTS SIMBA SC YAKWAMA  KUTINGA NUSU FAINALI CAF, YATOLEWA NA WYDAD CASABLANCA 

SIMBA SC YAKWAMA  KUTINGA NUSU FAINALI CAF, YATOLEWA NA WYDAD CASABLANCA 

KWA Mara nyingine Simba SC imeshindwa KUTINGA hatua ya Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuondoshwa kwa Mikwaju ya Penalti 4_3 na Wydad Casablanca mchezo uliopigwa uwanja wa Mohamed  V nchini Morocco.

Katika  dakika 90 Simba SC ilifungwa bao 1_0 lililofungwa na Mshambuliaji Bouly Sambou dakika ya 24 na kufanya matokeo kuwa 1_1 kwani mchezo wa kwanza Simba ilishinda bao 1_0 uwanja wa Benjamin Mkapa  jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea SIMBA SC YAKWAMA  KUTINGA NUSU FAINALI CAF, YATOLEWA NA WYDAD CASABLANCA