Home LOCAL RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA 

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu hassan ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bw. Sekkie Yahaya Selemani kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.     

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here