Home LOCAL RAIS SAMIA AMESHIRIKI IBADA YA EID EL FITR JIJINI DAR

RAIS SAMIA AMESHIRIKI IBADA YA EID EL FITR JIJINI DAR

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aswali Swala ya Eid El-Fitri pamoja na Waumini wengine wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here