Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA LA EID EL-FITR KITAIFA LILILOFANYIKA JNICC JIJINI DAR...

RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA LA EID EL-FITR KITAIFA LILILOFANYIKA JNICC JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Eid El-Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Aprili, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Baraza la Eid El-Fitr tarehe 22 Aprili, 2023. Wengine katika picha ni Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu Mama Shamim Khan.
Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Eid ambalo Kitaifa limefanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Aprili, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Baraza la Eid El-Fitr ambalo Kitaifa limefanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Aprili, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here