Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AMUANDALIA DHIFA YA KITAIFA MGENI WAKE RAIS PAUL KAGAME

RAIS DKT. SAMIA AMUANDALIA DHIFA YA KITAIFA MGENI WAKE RAIS PAUL KAGAME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni alichomuandalia mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akizungumza na Wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akiwasalimia viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023.

Wakuu wa Wilaya za mkoa wa Dar es salaam pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023.

Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023 

Viongozi wa dini na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya hafla ya chakula cha jioni alichomuandalia mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here