Home LOCAL MAKAMU WA RAIS IBADA YA IJUMAA KUU DODOMA

MAKAMU WA RAIS IBADA YA IJUMAA KUU DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa kuu katika Parokia ya Mtakatifu  Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma leo tarehe 07 Aprili 2023.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!