Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO KIKUU CHA ZIMAMOTO DAR ES SALAM

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO KIKUU CHA ZIMAMOTO DAR ES SALAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es salaam kilichopo Wilaya ya Temeke leo tarehe 28 Aprili 2023. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji John Masunga pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kaspar Mmuya.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika hafla ya Uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es salaam kilichopo Wilaya ya Temeke leo tarehe 28 Aprili 2023.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifuatilia onyesho la Askari wa Zimamoto na Uokoaji la namna ya kufanya uokozi katika majengo marefu wakati alipowasili katika hafla ya Uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es salaam kilichopo Wilaya ya Temeke leo tarehe 28 Aprili 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Askari wa Zimamoto na Uokoaji S/sgt. Christina Lyabonga juu ya huduma wanazozitoa katika Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es salaam kilichopo Wilaya ya Temeke leo tarehe 28 Aprili 2023 wakati wa uzinduzi wa kituo hicho.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi, Maafisa, Askari na Wananchi mbalimbali wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es salaam kilichopo Wilaya ya Temeke leo tarehe 28 Aprili 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es salaam kilichopo Wilaya ya Temeke leo tarehe 28 Aprili 2023. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji John Masunga pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kaspar Mmuya.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es salaam kilichopo Wilaya ya Temeke leo tarehe 28 Aprili 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here