Home LOCAL DAWASA YAWAFUTIRISHA WATUMISHI WAKE WOTE JIJINI DAR

DAWASA YAWAFUTIRISHA WATUMISHI WAKE WOTE JIJINI DAR

Matukio mbalimbali katika futari maalum iliyoandaliwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Ndugu Kiula Kingu kwa Watumishi wote wa DAWASA iliyofanyika  April 19, 2023 Jijini Dar es salaam

Tunaendelea kuwatakia waumini wote wa dini ya Kiislam nchini,mfungo mwema kwa siku zilizobaki za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here