Home LOCAL DAWASA YAFUNGUA DAWATI LA HUDUMA KWA WATEJA

DAWASA YAFUNGUA DAWATI LA HUDUMA KWA WATEJA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua Dawati la huduma kwa wateja kwa ajili ya kutoa elimu kwa umma juu ya huduma mbalimbali za Mamlaka ikiwemo utaratibu wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Kata ya Majohe, Wilaya ya Ilala ambao ni sehemu ya wanufaika wa utekelezaji wa mradi wa maji Majohe.

Utekelezaji wa mradi wa maji Majohe umehusisha ulazaji wa mabomba ya inchi 8,6,4 na 3 kwa umbali wa kilomita 46 na utahudumia wananchi takriban 24,000.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here