Home BUSINESS BRELA YATOA ELIMU KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

BRELA YATOA ELIMU KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

Afisa Leseni kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Fransice Filimbi, akitoa mada kuhusu umuhimu wa kupata Leseni za Viwanda, Kusajili Viwanda Vidogo pamoja na huduma za Sajili nyingine zinazotolewa na BRELA , katika mkutano wa wachimbaji Wadogo wa Madini na Wadau wa Madini ya Viwandani.

Mkutano huo wa siku mbili ulioanza jana tarehe 5, Aprili, 2023 na kufunguliwa na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Dotto Biteko (Mb), umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Previous articlePUMA ENERGY TANZANIA YAPONGEZWA KWA KUWAUNGANISHA WATANZANIA, YAFUTURISHA DAR
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 7-2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here