Home LOCAL WAZIRI MKUU: CHANGAMKIENI FURSA KUJENGA UCHUMI WA KIDIJITALI

WAZIRI MKUU: CHANGAMKIENI FURSA KUJENGA UCHUMI WA KIDIJITALI

Baadhi ya viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano wa Tano wa Mwanamke Kiongozi 2023 kwenye ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Machi 10, 2023.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na baadhi ya viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya Nane  ya Programu ya  Mwanamke Kiongozi  (waliosimama) baada ya kufungua Mkutano wa Tano wa Mwanamke Kiongozi 2023 kwenye ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Machi 10, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here