Home LOCAL WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA WILAYA YA BARIADI

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA WILAYA YA BARIADI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kwenye ukumbi wa Halmashauri, Machi 25, 2023. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,  Dkt. Yahaya Nawanda na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kwenye ukumbi wa Halmashauri, Machi 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya watumishi wa wilaya ya Bariadi  mkoani Simiyu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri, Machi 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here