Home LOCAL RAIS SAMIA AONYESHA UPENDO KWA WANANCHI WA USA RIVER MKOANI ARUSHA

RAIS SAMIA AONYESHA UPENDO KWA WANANCHI WA USA RIVER MKOANI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amembeba mtoto Zaujia Swalehe (1) mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Usa River Mkoani Arusha. Kushoto ni Mama wa Mtoto huyo Bi. Ashura Mohamed Mkazi wa Usa River, Arumeru Mkoani Arusha tarehe 05 Machi, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here