Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA BENKI YA NBC PAMOJA...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA BENKI YA NBC PAMOJA NA UONGOZI WA JUU WA BENKI YA ABSA GROUP AMBAO NI WAWEKEZAJI WA BENKI YA (NBC) IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa ABSA Group Bw. Arrie Rautenbach ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi 2023

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Benki ya Taifa ya Biashara Tanzania (NBC) pamoja na Uongozi wa Juu wa Benki ya ABSA Group ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa ABSA Group Bw. Arrie Rautenbach ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Benki ya Taifa ya Biashara Tanzania (NBC) pamoja na Uongozi wa Juu wa Benki ya ABSA Group ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi 2023.