Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI KATIKA ZIARA...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI KATIKA ZIARA YAKE YA KISERIKALI, PRETORIA NCHINI AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika Majengo ya (Union Buildings), Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa wakati wakielekea kwenye Viwanja vya mapokezi ya Viongozi vilivyopo katika Ofisi za Majengo ya (Union Buildings), Pretoria nchini Afrika Kusini wakati wa ziara yake tarehe 16 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mapokezi ya Viongozi vilivyopo kwenye Majengo ya (Union Buildings), Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa wakati akimuonesha Majengo mbalimbali ya Mji wa Pretoria katika Ziara yake ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuanza mazungumzo Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ofisi za Majengo ya (Union Buildings), Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa yaliyofanyika katika Ofisi za Majengo ya Muungano, Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Heshima kutoka kwa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuzungumza na Wanahabari katika ziara yake ya Kiserikali, Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.

Previous articleRAIS SAMIA: ROYAL TOUR IMELETA WATALII WENGI, AALIKA WAWEKEZAJI KUWEKEZA SEKTA YA UTALII
Next articleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MACHI 17 – 2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here