Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI KAMALA HARRIS, IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023. Pembeni yake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.

 Picha na Ikulu

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!